Ukishajisajili utatengenezewa account ya kuingia kwenye mfumo pamoja na borrower profile ya kutumia kwenye maombi ya mkopo na huduma nyingine za mteja.
Utapata account yako ya kuingia kama borrower/customer.
Taarifa zako zitaingia pia kwenye borrower records tayari kwa maombi ya mkopo.
Baadaye utaweza kuingia na kuomba mkopo kama mteja wa mfumo.